Presentation to Honorable MPs, 27th July, 2002 in Dodoma - PowerPoint PPT Presentation

1 / 15
About This Presentation
Title:

Presentation to Honorable MPs, 27th July, 2002 in Dodoma

Description:

Toleo la Kwanza la Rasimu (First Order Draft FOD) Mkutano wa Wadau (stakeholders Meeting) ... kama ulivyo kwenye toleo la Kwanza (FOD): Busara za Waziri Mh. ... – PowerPoint PPT presentation

Number of Views:175
Avg rating:3.0/5.0
Slides: 16
Provided by: TTCL
Category:

less

Transcript and Presenter's Notes

Title: Presentation to Honorable MPs, 27th July, 2002 in Dodoma


1
TAARIFA KUHUSU RASIMU YA SERA YA TAIFA YA ICT
  • Na
  • Prof.Mathew L. Luhanga
  • Mwenyekiti
  • Kamati Maalumu ya Kuandaa Sera Ya Taifa ya
    ICT

2
Mwongozo
Sio Spishi zenye nguvu ambazo zinaendelea
kuishi, na sio zenye akili nyingi, bali zile
ambazo zinakwenda na wakati na kukubali
mabadiliko. Charles Darwin, Asili ya Spishi
yaani The Origin of the Speicies
3
Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi Kama Mratibu
MOCT ILITEULIWA kuwa Mratibu wa Kitaifa wa
Shughuli zote za ICT nchini tarehe 1 Aprili,
2002  
4
Kamati Maalumu ya Kuandaa Sera ya Taifa ya ICT
  • Kamati Maalumu ya Kuandaa sera ya Kitaifa ya ICT
    iliteuliwa tarehe 1 Julai 2001 na kupewa Hadidu
    za Rejea 22 zinazolenga katika
  • Uundaji wa Rasimu ya sera ya Taifa ya ICT
  • Matayarisho na usimamiaji wa utekelezaji wa sera
    mara itakapoidhinishwa.

5
Wajumbe wa Kamati Maalumu
  • Mwenyekiti Prof. M.L. Luhanga Makamu Mkuu
    wa Chuo, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
  • Wajumbe
  • Bw. Ahmed Mohammed Ali MCT Zanzibar
  • Mh. Dkt. Batilda Burian Mbunge

6
Wajumbe wa Kamati (inaendelea).
  • Mhandisi Emmanuel Mange Mkurugenzi TCC
  • Mh. Prof. Henry Mgombelo Mbunge
  • Bw. Theo Mlaki Mkurugenzi Costech
  • Balozi Ami Mpungwe - Mkurugenzi, Intrinsic
    Technology
  • Bw. Ali Mfuruki CEO Infotech Investments Group
  • Prof. Beda Mutagahywa Mkurugenzi UCC, UDSM

7
Wajumbe wa Kamati (inaendelea).
  • Kanali Abihudi Nalingigwa Mkurugenzi Mkuu
    TCC
  • Mh. George Nangale MEALA
  • Bi Anita Ngowi Mkurugenzi, Ofisi ya Makamu
    wa Raisi
  • Bw. Simbo Ntiro EThink Tank
  • Bw. David Sawe Mkurugenzi MIS, CSD
  • Bw. Suleiman Tawakali MCT Zanzibar
  • Mhandisi Dkt. Zaipuna Yonah Mkurugenzi TTCL
    na Meneja Mkuu Simunet

8
Kazi na Matokeo Muhimu
  • Toleo la awali la Rasimu ya Sera ya Taifa ya ICT
    (Zeroth Order Draft-ZOD)
  • Toleo la Kwanza la Rasimu (First Order Draft
    FOD)
  • Mkutano wa Wadau (stakeholders Meeting)
  • Kukutana na waheshimiwa wabunge
  • Mwisho wa Mchakato wa Kiufundi
  • Mwanzo wa Mchakato wa Kisiasa

9
Mchanganuo wa Rasimu
  • Muundo wa sera kama ulivyo kwenye toleo la
    Kwanza (FOD)
  • Busara za Waziri Mh. Prof. M. J. Mwandosya (Mb).
  • Utangulizi wa Rasimu
  • Malengo
  • Nafasi ya ICT Tanzania
  • Changamoto na Taarifa ya sera
  • Sera, Utekelezaji na Ufuatiliaji.

10
Utangulizi .
  • ICT kama Kiungo muhimu cha Maendeleo
  • Umuhimu wa ICT katika Utandawazi
  • Kwa nini kuwepo na Sera ya Taifa ya ICT kwa
    Tanzania?

11
Dira ya Sera ya Taifa ya ICT...

Kwa kuitumia nafasi ya kipekee ya nchi
kijiografia, Tanzania inakuwa Kivutio na Kitovu
katika Kanda itakayotumika kutoa ufumbuzi wa
matatizo mbali mbali kwa lengo la kuleta
maendeleo ya kudumu kiuchumi na kijamii, ambayo
yanalenga kupunguza umaskini Kitaifa kwa
kutumia miundo mbinu ya ICT.
12
Taarifa ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya ICT
Kuratibu shughuli za ICT katika jamii na sekta
binafsi nchini na kutoa mfumo utakaowezesha
Sheria na marekebisho kwa umma na uwekezaji wa
miundo mbinu binafsi katika ujenzi wa uwezo
Kibiashara (Miundombinu na rasilimali watu),
maendeleo na uzalishaji wa Software na hardware,
na kukuza ushirikiano kieneo na kimataifa.
13
Hadhi ya ICT Tanzania
  • Uchunguzi mbali mbali umefanywa
  • Kuna hatua ya haraka ya mabadiliko
  • Kiungo kwa huduma na miundo mbinu iliyopo (hasa
    pale ambapo makutano ya huduma hayajatokea)

14
Malengo, Changamoto na Taarifa za Sera.
  • Maeneo kumi ya kuzingatia
  • Uongozi wa Kimkakati
  • Muundo wa Kisheria na Marekebisho
  • Mtaji wa watu
  • Huduma ya Jamii
  • Miundombinu ya ICT
  • Tasnia ya ICT
  • Sekta zenye kuzalisha
  • Sekta za Huduma
  • Upatikanaji wa Huduma za ICT mahali pote
  • Uwezo wa Wenyeji
  • Tofauti ya Maeneo yanayolengwa na Maudhui

15
Utekelezaji na Usimamiaji wa Sera..
  • Sehemu kadhaa za FOD ambazo hazijakamilika.
    Maoni, mawazo na pembejeo muhimu zinakaribishwa
  • Inatakiwa taasisi yenye utaalamu pembejeo
    zinakaribishwa
Write a Comment
User Comments (0)
About PowerShow.com