Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo - PowerPoint PPT Presentation

1 / 21
About This Presentation
Title:

Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo

Description:

Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo – PowerPoint PPT presentation

Number of Views:138
Avg rating:3.0/5.0
Slides: 22
Provided by: FIT71
Category:

less

Transcript and Presenter's Notes

Title: Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo


1
Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo
1
2
2
Chagua eneo ambalo kitambaa kitaonekana toka
pande zote
3
3
Fyeka majani na kuondoa vichaka vyote
4
4
Eneo lililo chaguliwa na kufyekwa vizuri.
5
5
Kata fito 2 nene zilizonyooka
6
6
Pungua urefu wa fito kufikia mita moja na nusu
7
Hakikisha vitu hivi vyote vipo...
Fito
Vivutio
Lebo
Waya
Kitambaa cha kuua ndorobo
Vifaa
7
8
Jaribu uelekeo wa upepo kwa kurusha majani makavu
Pandikiza kitambaa cha kuua ndorobo kuelekea
upepo unakokwenda
8
9
Tumia kitambaa kupimia sehemu za kuchimbia fito
9
10
10
Weka alama kwenye sehemu za kuchimba mashimo
11
Ondoa Kitambaa na kishachimba mashimo kwa ajili
ya fito
11
12
12
Pachika fito kwenye mashimo, hakikisha
zimesimama imara
13
13
Tumia kamba kufunga kitambaa kwenye fito
14
14
Kishafunga kamba za juu za kitambaa kwenye fito
15
Hakikisha kitambaa hikijajuzungusha kwenye fito
Kama hivi
na SIYO hivi
J
L
15
16
16
KAMA HIVI......
17
17
Hakikisha tundu dogo la chupa liko wazi
Funga chupa yenye kivutio cha 'acetone' kwenye
fito
18
Weka pakiti ya kuvutio kwenye mfuko wa kitambaa
18
19
19
Nyuivyizia dawa ya kuua ndorobo katika sehemu
nyeusi ya kitambaa mpaka ilowe
20
20
Weka lebo, chukua rekodi zote
21
21
Kitambaa hiki kina uhalali wa kuuwa....
Ndorobo!!
Write a Comment
User Comments (0)
About PowerShow.com