Uwazi na Upatikanaji wa Taarifa za Bajeti ya Serikali - PowerPoint PPT Presentation

1 / 26
About This Presentation
Title:

Uwazi na Upatikanaji wa Taarifa za Bajeti ya Serikali

Description:

Uwazi na Upatikanaji wa Taarifa za Bajeti ya Serikali – PowerPoint PPT presentation

Number of Views:88
Avg rating:3.0/5.0
Slides: 27
Provided by: ire78
Category:

less

Transcript and Presenter's Notes

Title: Uwazi na Upatikanaji wa Taarifa za Bajeti ya Serikali


1
Uwazi na Upatikanaji wa Taarifa za Bajeti ya
Serikali
  • Irenei Kiria
  • Mkutano wa Mwaka wa AZAKI 28 October 2009, Dar es
    Salaam

2
Maandalizi ya mada hii
  • Open Budget Index (OBI) 2008 iliyofanywa na
    International Budget Partnership kupitia
    Hakielimu.
  • Tovuti za kutembelea
  • www.mof.go.tz
  • www.parliament.go.tz
  • www.internationalbudget.org
  • www.policyforum-tz.org
  • www.hakielimu.org
  • www.repoa.or.tz
  • www.yav.or.tz

3
Mchakato wa Bajeti na Taarifa
2. Upitishwaji Bajeti Bajeti iliyopitishwa Bajeti
ya Wananchi
1. Uandaaji Bajeti Mwongozo wa Bajeti Makadirio
ya Bajeti
  • 3. Utekelezaji Bajeti
  • Ripoti za miezi 3
  • Ripoti za nusu mwaka
  • Ripoti za Mwaka

4. Tathmini Bajeti Ripoti za ukaguzi wa Hesabu
4
Mzunguko wa Mchakato
5
Taarifa hizo zinapatikana? OBI 2008
6
Kipimo Uwazi na Upatikanaji
  • Wastani wa majibu ya maswali 91
  • 81 100 Taarifa zote kuhusu bajeti
  • 61 80 Taarifa muhimu tu
  • 41 60 Taarifa kiasi
  • 21 - 40 Taarifa kidogo sana
  • 0 20 Hakuna taarifa
  • Source OBI 2008

7
Hali ya Tanzania
  • Katika OBI ya 2008 Tanzania ina 35, ina maana
    inatoa taarifa kidogo sana
  • Mwaka 2006 Tanzania ilikuwa na 48, kwamba inatoa
    taarifa kiasi

8
Tanzania na Afrika Mashariki OBI
9
Wananchi wana haki ya kupata taarifa za bajeti?
10
Sheria
  • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2005
    Ibara ya 18d inatoa haki kwa kila raia kutafuta,
    kupokea, na kusambaza taarifa bila mipaka
  • Haki hii ya kikatiba haijatungiwa sheria ya
    utekelezaji wake

11
Kwa nini bajeti iwe wazi
  • Ni pesa za wananchi
  • Serikali inatumikia wananchi
  • Bajeti ni sera kuu ya maendeleo
  • Kufananisha sera na bajeti
  • Kufuatilia na kutathmini utendaji wa serikali
  • Kupunguza uwezekano wa ufujaji

12
Taarifa za Bajeti Serikali Kuu
  • Huandaliwa na Wizara husika pamoja na Wizara ya
    Fedha kupitishwa na Baraza la Mawaziri (wananchi
    hawahusishwi)
  • Makadirio ya bajeti ni siri hadi yapitishwe na
    Bunge (July au August)
  • Vitabu vya Bajeti vimeandikwa kitaalamu/Kiingereza
  • Taarifa za sekta moja zinapatikana kutoka vitabu
    na sehemu tofauti

13
Taarifa za Bajeti Serikali Kuu
  • Hakuna bajeti ya wananchi (rahisi kusoma na
    kuelewa)
  • Wabunge hupewa bajeti wiki chache kabla ya kikao
    kuanza (vitabu 4 vikubwa)
  • Vitabu vya bajeti havina maelezo ya kina (jumla
    za kati peke yake)
  • MTEF ndiyo ina maelezo ya kina lakini Wabunge
    hawapewi, ni vigumu kuipata

14
Taarifa za Bajeti Halmashauri
  • Vipaumbele vya jamii huingia kwenye bajeti?
  • Kila idara huandaa bajeti yake, kufuata miongozo
    mbali mbali!
  • Mipango yote ya kila idara hupitishwa na Baraza
    la madiwani (serikali kuu hufanya marekebisho
    pia)
  • Bajeti ya serikali za mitaa hupitishwa chini ya
    Bajeti ya Waziri Mkuu (sector zote!)

15
Utekelezaji wa Bajeti
  • Wizara ya fedha huchapisha kwenye tovuti utoaji
    wa fedha (disbursement)
  • Wizara hazichapishi kupokea pesa
  • Halmashauri nyingi hazichapishi kupokea
  • Taarifa za matumizi haziko wazi au ni ngumu
    kuelewa
  • Upitishaji wa bajeti hauzingatii utekelezaji wa
    bajeti iliyopita
  • Ufujaji, (value for money) ni tatizo

16
Taarifa za Ukaguzi wa Hesabu
  • Zinachelewa takribani mwaka mmoja
  • Ziko wazi kwenye tovuti, au ukiomba
  • Za taasisi mojamoja ziliwahi kupatikana tovuti
  • Kuna Halmashauri zinabandika hadharani
  • Taarifa hizi zimeandikwa kitaalamu
  • Ukaguzi hauzingatii dhamani ya mali kwa pesa
    zilizotumika
  • Wanaofuja pesa wengi hawawajibishwi
  • Matatizo yanajirudia mwaka hadi mwaka

17
Wananchi wana Mwamko?
  • Kata ya Azimio, Manispaa ya Temeke (July 2009)

18
(No Transcript)
19
(No Transcript)
20
(No Transcript)
21
(No Transcript)
22
(No Transcript)
23
(No Transcript)
24
Wakazi Azimio wanayajua hayo?
25
Utafanya nini kupata taarifa za mipango, mapato
na matumizi ya serikali?
  • Utazifanyia nini hizo taarifa?

26
  • Nenda katekeleze,
  • ushirikishe wenzako!
Write a Comment
User Comments (0)
About PowerShow.com